Rita Dominic
Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha[1][2] (alizaliwa tar. 12 Julai 1975 mjini Mbaise, Imo State, Nigeria)[3] ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Nigeria.
Rita Dominic | |
---|---|
Rita Dominic akiwa ugwaji wa tuzo za African Movie Academy Awards mjini Abuja, Nigeria, Aprili 2008 | |
Amezaliwa | Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha 12 Julai 1975 Mbaise, Imo State, Nigeria |
Kazi yake | Mwigizaji |
Maisha ya awali
haririRita Dominic ni mmoja kati ya wanachama wa Famili ya Kifalme ya Waturuocha ya Aborh Mbaise huko Imo State. Yeye ni mdogo kuzaliwa katika familia ya ndugu wanne.[4] Wazazi wake baadaye wakawa jishughulisha na masuala ya tiba; baba yake alikuwa daktari na mama yake ofisa wa uuguzi.[5] Dominic alimaliza elimu yake ya msingi na sekondari huko mjini Abia State, Nigeria, kabla ya kuelekea zake katika Chuo Kikuu cha Port Harcourt, ambapo alikuja kupata digrii (BA) ya masuala ya Sanaa na Uigizaji mnamo mwaka 1999.
Shughuli za sanaa
haririDominic alianza kucheza filamu tangu akiwa mdogo, ameonekana katika michezo ya shule na vipindi vya televisheni ya watoto huko mjini Imo. Kunako mwaka wa 1998, ameonekana kwenye filamu kwa mara ya kwanza ilikuwa A time to kill. Akabahatika kujishindia tuzo ya City People Awards mnamo 2004 akiwa kama Mwigizaji Bora w Filamu wa Kike.[6] Ameonekana katika filamu zaidi ya 100 zilizotayarishwa na Nollywood.
Filmografia
hariri- Saidi's Song (2009)
- White Waters (2008)
- True Lies (2008)
- Yankee Girls (2008)
- A Better Place (2007)
- Caught-Up (2007)
- Immaterial (2007)
- Yahoo Millionaire (2007
- All I Have (2006)
- Connected Firm (2006)
- Dancing Heart (2006)
- Girls Cot (2006) (with Genevieve Nnaji & Ini Edo)
- Jealous Heart (2006)
- Last Offence (2006)
- Married for Money (2006)
- Million Dollar Sisters (2006)
- Saviour (2006)
- Show Girls: Face of Africa 3 (2006)
- Spirit of Love (2006)
- Sweet Sound (2006)
- Total Control (2006)
- Unbreakable Affair (2006)
- Wedding Fever (2006)
- 2 Face (2005)
- The Begotten (2005)
- Bless Me (2005)
- C.I.D (2005)
- Desperate Billionaire (2005)
- Face of Africa (2005)
- Guys on the Line (2005)
- Joshua (2005)
- Kill the Bride (2005)
- Last Game (2005)
- Love Story (2005)
- More Than Gold (2005)
- Never Too Far (2005)
- Only Love (2005)
- Orange Groove (2005)
- Suicide Lovers (2005)
- Ultimate Crisis (2005)
- Wheel of Change (2005)
- All My Life (2004)
- Blood Diamonds (2004)
- Goodbye New York (2004)
- I Believe in You (2004)
- Indecent Act (2004)
- The Ingrate (2004)
- Last Wedding (2004)
- Lost Paradise (2004)
- Love After Love (2004)
- Love Temple (2004)
- Nights of Riot (2004)
- Schemers: Bad Babes (2004)
- Singles & Married (2004)
- Sweet Love (2004)
- True Romance (2004)
- Working Class Lady (2004)
- Accidental Discharge (2003)
- Back from America (2003)
- The Intruder (2003)
- Lean on Me (2003)
- Love You Forever (2003)
- A Night to Remember (2003)
- Street Life (2003)
- Throwing Stones (2003)
- To Love a Thief (2003)
- Unforgetable (2003)
- Aba Riot (1999)
- Face of a Liar (1999)
- My Guy (1999)
- Prisoner of Love (1999)
- Children of Terror (1998)
- A time to kill (1998)
Viungo vya Nje
hariri- Official website Ilihifadhiwa 3 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine.
- Rita Dominic at the Internet Movie Database
Marejeo
hariri- ↑ "Rita Dominic, Official Website - Profile". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-06. Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
- ↑ Rita Dominic's full name
- ↑ "Rita Dominic, Date of Birth & Filmogrphy at HollywoodPremiere.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
- ↑ Dominic at AllAfrica.com
- ↑ "Rita Dominic's Biography, Age, Net Worth, Children, Husband And Career". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-04. Iliwekwa mnamo 2022-08-18.
- ↑ "Dominic at GhanaMma.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-11. Iliwekwa mnamo 2009-10-06.