Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 12 Julai ni siku ya 193 ya mwaka (ya 194 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 172.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Proklo na Hilarioni, Fortunati na Ermagora, Nabore, Feliche Mwafrika, Paterniani wa Fano, Vivensioli, Yohane Gualberto, Leo I wa Cava, Yohane Jones, Klemens Ignas Delgado, Agnes Le Thi Thanh, Petro Khanh, Alois na Maria Azelia Martin n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 12 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.