Rize ni jina la kutaja mji mkuu wa Mkoa wa Rize huko nchini Uturuki. Mji upo mjini kaskazini-mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi. Mji una wakazi takriban 78,144 wanaoishi mjini hapa. Mji upo 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jinsi kunavyoonekana mjini hapa wakati wa usiku.

Idadi ya wakazi kwa miaka

hariri
Mwaka Idadi ya wakazi
1975 36.044
1980 43.407
1985 50.221
1990 52.031
1997 73.420
2000 78.144

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rize kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.