Mkoa wa Rize


Rize ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi kati ya Trabzon na Artvin. Mji mkuu wake ni Rize.

Rize


Flag of Turkey.svg Mkoa wa Rize
Maeneo ya Mkoa wa Rize nchini Uturuki
Rize districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 3,920 (km²)
Idadi ya Wakazi 361,353 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 53
Kodi ya eneo: 0464
Tovuti ya Gavana http://www.rize.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/rize

Wilaya za mkoani hapaEdit

Mkoa wa Rize umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Rize kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.