Heinrich Hermann Robert Koch (11 Desemba 184327 Mei 1910) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1882 aligundua kirusi kinachosababisha kifua kikuu, na mwaka wa 1883 kirusi kinachosababisha kipindupindu. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Robert Koch


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Koch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.