Robert Lewis Taylor

Robert Lewis Taylor (24 Septemba 191230 Septemba 1998) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1959, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Travels of Jaimie McPheeters.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Lewis Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.