Robert Mshengu Kavanagh

Mwandishi wa Afrika Kusini

Robert Mshengu Kavanagh (amezaliwa 1944 mjini Durban) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Pia anatumia jina Robert Malcolm McLaren. Hasa anajulikana kwa kuendeleza tamthiliya za nchi za Afrika ya Kusini miaka ya sabini karne iliyopita. Pia alitafsiri na kuhariri mashairi ya Kixhosa.

Maandishi yake hariri

  • South African People's Play (mhariri, 1981)
  • Theatre and Cultural Struggle in South Africa (1985)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Mshengu Kavanagh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.