Robert Sanderson Mulliken (7 Juni 189631 Oktoba 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli. Mwaka wa 1966 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Robert Mulliken, Chicago 1929
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Mulliken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.