1896
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1892 |
1893 |
1894 |
1895 |
1896
| 1897
| 1898
| 1899
| 1900
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1896 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 1 Machi - Waethiopia chini ya Negus Menelik II wanashinda jeshi la Italia karibu na mji wa Adwa
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 28 Februari - Philip Hench (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 4 Aprili - Robert Sherwood (mwandishi Mmarekani)
- 15 Aprili - Nikolay Semyonov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956)
- 7 Juni - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 8 Agosti – Marjorie Rawlings (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 12 Oktoba - Eugenio Montale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975)
- 14 Novemba - Mamie Eisenhower, mke wa Rais Dwight D. Eisenhower, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (1953-61)
- 27 Desemba - Louis Bromfield, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 21 Januari - Phan Dinh Phung, mwanamapinduzi wa Vietnam
- 11 Oktoba - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 10 Desemba - Alfred Nobel (mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel)
- 30 Desemba - José Rizal, mwandishi mzalendo kutoka Ufilipino
Wikimedia Commons ina media kuhusu: