Robert Skov (alizaliwa 20 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Denmark na klabu ya Copenhagen katika Superliga ya Denmark.

Robert Skov

Mnamo Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha kuwakilisha Denmark katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Skov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.