Roberto Jáuregui Alikuwa Mwargentina, mwandishi wa habari, mwigizaji, na mwanaharakati wa haki za binadamu.

Roberto Jáuregui

Jáuregui alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kupata VVU nchini Argentina, na wa kwanza kufichua hali yake hadharani.[1]. Alikuwa pia Mratibu Mkuu wa kwanza wa shirika la Fundación Huésped, ambalo ni shirika la afya ya umma la Argentina ambalo limejikita katika ufahamu dhidi ya UKIMWI na Tiba ya UKIMWI.[2][3]. Kaka yake, Carlos Jáuregui (mwanaharakati), pia alikuwa mwanaharakati wa haki za mashoga na masuala yanayohusiana na hayo.[4]

Matukio mashuhuri

hariri

Mnamo mwaka 1989, Jáuregui alikuwa ameambukizwa VVU, lakini hakuwa na pesa za kulipia matibabu. Alishutumu hadharani ukosefu wa usawa wa upatikanaji wa huduma za afya ambapo aliamini kuwa ilikuwepo nchini Argentina wakati huo, na kujitokeza hadharani kama mwanaharakati wa afya ya umma na matibabu ya VVU / UKIMWI.[5]

Alionekana kwenye kipindi cha televisheni cha Hora Clave mnamo mwaka 1993, ambapo mwandishi Mariano Grondona alimkaribisha Jáuregui kwa kumkumbatia, akionesha hadharani imani potofu kwamba kugusana kwa miili peke yake hakuwezi kusambaza VVU.[5] Wakati wa kipindi hicho, alipoulizwa na daktari kwamba kama anaogopa kifo, alijibu hauogopi kifo.[6][7]

Jáuregui pia alionekana kwenye telenovela Celeste akizugumza juu ya kuishi na VVU.[8] Muonekano huu ulitokana na mkakati wa UNICEF wa kutumia tamthiliya kuelimisha juu ya maswala ya kiafya.[8][9][10]=

Mnamo Januari 13, mwaka 1994, Jáuregui alikufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Nuestra Historia". Fundación Huésped (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Línea de tiempo". Fundación Huésped (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Chavez, Valeria (Machi 9, 2019). "La historia del VIH, en una línea de tiempo: 18 hitos que marcaron la evolución de la enfermedad". infobae (kwa Kihispania (Ulaya)). Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  4. Iwanek, Natalia (Machi 9, 2020). "Carlos Jáuregui: Profiling a Legendary Argentinian Queer Activist". Passion Passport (kwa American English). Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. 5.0 5.1 Bazán, Osvaldo, 1963– (2016). Historia de la homosexualidad en la Argentina : de la conquista de América al siglo XXI (tol. la 4a edición). Buenos Aires. ISBN 978-987-3783-28-9. OCLC 957773495.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  6. "Fundación Huésped". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  7. Palermonline. "Agregan El Nombre De Carlos Jaúregui A La Estación Santa Fe De La Línea H". Palermonline Noticias (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. 8.0 8.1 Melo, Adrian (Julai 20, 2018). "La novela de la vida". PAGINA12. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  9. "Soap Operas as Teaching Tools". The Globalist (kwa American English). Juni 11, 2016. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Chelala, César. "Opinion | Learning From Soap Operas (Published 2010)", The New York Times, June 3, 2010. (en-US)