Rodrick Kabwe (aliyezaliwa 30 Novemba , 1992) ni mchezaji wa soka wa Zambia ambaye anacheza kama kiungo.

Kazi ya Klabu hariri

Kabwe alianza kazi yake akiwa na Kabwe Warriors mwaka 2011, kabla ya kuhamia klabu iliyopo Ligi Kuu ya Zambia Zanaco miaka mitatu baadaye.

Wakati akiwa na klabu ya Zanaco, aliweza kuchukua kombe la Ligi Kuu ya Zambia mwaka 2016. Mnamo tarehe 22 Desemba 2016, Kabwe alijiunga na klabu ya Ajax Cape Town Kusini mwa Afrika Kusini.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrick Kabwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.