Romang ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Wetar. Eneo la kisiwa ni 168 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Hila. Mwaka wa 1991, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1700. Watu wakaao kisiwani kwa Romang huongea Kiroma.

Picha ya ramani kuonesha eneo Romang
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.