Wetar
Wetar ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Timor na upande wa mashariki wa kisiwa cha Alor. Eneo la kisiwa ni 3600 km². Baadhi ya miji kisiwani ni Lioppa, Ilwaki, Wasiri, Masapun na Arwala. Watu wakaao kisiwani kwa Wetar huongea lugha mbalimbali, miongoni mwao Kiaputai, Kiili'uun, Kiperai na Kitugun.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|