Rongo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Migori, haya ndiyo maeneo ya watu wa Kamagambo. Rongo ni mji ambao umenawiri kwa ukulima wa miwa.

Rongo.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 82,066[1].

Tanbihi

hariri
  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.