Rosalía de Castro

María Rosalía Rita de Castro (Santiago de Compostela, 24 Februari 1837 - Padrón, 15 Julai 1885) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Hispania. [1]

Rosalía de Castro.

Tanbihi hariri

  1. http://escritoras.com/escritoras/Rosalia-de-Castro
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosalía de Castro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.