Ross Barkley

Mchezaji mpira wa Uingereza

Ross Barkley (amezaliwa 5 Desemba 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea klabu ya Chelsea F.C. iliyopo nchini Uingereza, naye ni mzawa wa nchi hiyo.

Ross Barkley
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ross Barkley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.