Rote (au Roti) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Timor. Eneo la kisiwa ni 1214 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ba'a. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 119,711. Watu wakaao kisiwani kwa Rote huongea lugha mbalimbali kama Kibilba, Kidela-Oenale, Kidengka, Kilole, Kirikou, Kitermanu na Kitii.

Kisiwa cha Rote upande wa magharibi wa Timor katika mkoa wa Nusa Tenggara

Picha za Rote

hariri


  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.