Timor ni kisiwa katika funguvisiwa ya Malay chenye eneo la 33,850 km². Nusu moja ya kisiwa ni sehemu ya Indonesia na sehemu nyingine ni jamhuri huria ya Timor ya Mashariki.

Ramani ya kisiwa cha Timor
kijani: maeneo ya Timor ya Mashariki
kahawia: maeneo ya Indonesia

Urefu wa kisiwa ni kilomita 500 na upana 80 km. Kwa jumla kuna wakazi milioni 3 kisiwani.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Timor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.