Royan ni mji wa Ufaransa ya magharibi. Iko kwenye mwambao wa Atlantiki upande wa kazkazini wa mdomo wa mto Gironde. Royan ina wakazi 18 202 (mwaka wa 2006).

Royan

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Royan katika Ufaransa

Majiranukta: 45°37′12″N 1°01′48″W / 45.62000°N 1.03000°W / 45.62000; -1.03000
Nchi Ufaransa
Mkoa Poitou-Charentes
Wilaya Charente-Maritime
Idadi ya wakazi
 - 18,202
Tovuti: www.ville-royan.fr
Blason Royan.svg

HistoriaEdit

Royan ni mji wa kale lakini iliharibiwa kabisa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia ikajengwa upya baada ya vita kwa hiyo karibu nyumba zote ni mpya.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Royan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: