Roza Rymbayeva

Roza Kwanyshevna Rymbayeva (alizaliwa tar. 28 Oktoba 1957) ni mwimbaji wa muziki wa Kikazaki na Kirusi kutoka nchini Kazakistani.

Roza Rymbayeva
Roza Rymbayeva.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Roza Kwanyshevna Rymbayeva
Amezaliwa (1957-10-28)28 Oktoba 1957
Jangiz-Tobe, Mkoa wa Semipalatinsky, Kazakistani
Aina ya muziki Pop ya Kikazaki
Kazi yake Mwimbaji, mwigizaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1976–hadi leo
Ame/Wameshirikiana na Sergey Penkin, Batyrkhan Shukenov, Renat Ibragimov, Vladimir Stupin
Tovuti r-rimbaeva.narod.ru

WasifuEdit

Maisha ya awaliEdit

Roza Rymbayeva alizaliwa mkoani Semipalatinsky mnamo tarehe 28 Oktoba 1957 kwa familia ya wafanyakazi wa reli.

FamiliaEdit

Mume — Taskyn Okapov (19481999),

Watoto — Ali (1991) na Madi (2000),

Wapwa wa kike wa mumewe — Manshuk (1975) na Aliya (1979).

FilmografiaEdit

1976 — filamu ya televisheni «Первая песня» (Wimbo wa kwanza), studio «Kazakhtelefilm».

1982 — mwigizaji mkuu wa filamu ya Kisovyeti-Kicheki «До свидания, Медео» (kwa Kirusi) au «Revue na zakázku» (kwa Kicheki)[1]

2001 — filamu «Роза» (Roza), mwogozaji J. Sabirova

2002 — filamu «Хвост кометы. Роза Рымбаева» (mkia wa kometi. Roza Rymbayeva), mwogozaji A. Burykin (Urusi).

MarejeoEdit