Ruann Coleman ni mchongaji mdogo wa nchini Afrika Kusini. Kazi yake, ambayo inajumuisha matirio yaliyorudishwa kutoka junkyards au kupatikana katika mazingira, yameonyeshwa huko Cape Town, [1] Johannesburg [2] [3] na huko Roma, Milan na Torino, Italia [4] [5] [6]

Kazi zake zinahusika na kurekebisha vifaa vya kikaboni na visivyo vya kikaboni kama vile matawi ya mbao, chuma na glasi ili kubadilisha muonekano. [7]

Marejeo hariri

  1. "The Minimal-List - 16 Creatives Keeping It Simple". 26 November 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-28. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.  Check date values in: |date= (help)
  2. "RESIDENCY". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-20. 
  3. "FNB Joburg Art Fair - A Studio Visit with Ruann Coleman". 18 August 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-08. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.  Check date values in: |date= (help)
  4. "Ruann Coleman". rainbowmediagroup.net. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-20. 
  5. "Corso Aperto 2016". www.fondazioneratti.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-20. 
  6. "Artissima - 06.11.15 - 08.11.15 - smac gallery". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-22. Iliwekwa mnamo 2022-03-20. 
  7. Staff Reporter. "Creative Showcase: A studio visit with Ruann Coleman". 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruann Coleman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.