Rushell Clayton (alizaliwa 18 Oktoba 1992) ni mwanariadha wa Jamaika ambaye alibobea katika mbio za mita 400 kuruka viunzi. [1] Alishinda medali ya shaba, akimaliza katika nafasi ya tatu, kwenye Mashindano ya Dunia mwaka 2019 na 2023, akiweka kiwango chake bora cha sekunde 52.81 kwenye Ulimwengu mwaka 2023. Rushell anafunzwa na Reynaldo Walcott na ni sehemu ya Andi Sports Management. Alikua Mwanamke wa kwanza wa Jamaika tangu mwaka 2011 kuvunja sekunde 53 katika mbio za kuruka viunzi 400m.

Rushell Clayton akiwa na medali yake ya shaba

Marejeo

hariri
  1. "Rushell Clayton".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rushell Clayton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.