Ryota Yamagata
Mwanariadha wa mbio fupi wa Kijapani
Ryota Yamagata (山縣 亮太, Yamagata Ryōta,alizaliwa 10 Juni 1992) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alishikilia rekodi ya Japani ya 9.95 katika 100m. Akishinda medali ya shaba katika mbio za kupokezana vijiti katika mashindano ya dunia ya vijana katika Riadha ya mwaka 2009. Katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2016 huko Rio de Janeiro, Yamagata alikuwa sehemu ya timu ya Japani ya mbio za 4 × 100, ambayo ilitwaa medali ya fedha katika fainali. Aliwahi kuwa nahodha wa timu ya Japani katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020 Tokyo. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Mckirdy, Andrew. "Bolt completes triple-triple with Jamaica's gold in 4×100 relay; Japan makes history by taking silver", 2016-08-20. Retrieved on 2024-09-25. (en-US) Archived from the original on 2016-08-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ryota Yamagata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |