Saïd Amara (Machi 1933 - 2 Agosti 2020)[1] alikuwa meneja na mchezaji wa mpira wa miguu nchini Algeria.

Kazi hariri

Amara ni Mzaliwa wa Saida, Amara alianza kucheza mpira wa vilabu katika Klabu ya Gaité Saida na SC Bel Abbès. Mnamo 1956, alihamia Ufaransa kuchezea Strasbourg, Béziers na Bordeaux.[2] Baadaye Alirudi Algeria, akicheza klabu ya MC Saida na JSM Tiaret.[3]

Alitumia muda mwingi akiwa na timu ya soka ya FLN mwaka wa 1960 hadi 1962, na kupokea vitisho vya kuuawa aliporejea Bordeaux.[4] Pia aliichezea timu ya taifa ya Algeria mechi tano kati ya 1963 na 1964. [2][3][5]Amara alikuwa na vipindi viwili kama meneja wa timu ya taifa ya Algeria. [6]Pia alisimamia vilabu vingi, vikiwemo MC Saïda, ES Mostaganem, MC Oran, GC Mascara na Al-Ahly Benghazi.[3][5]

Marejeo hariri

  1. Thouraya, Chellouf. "Football : décès de l'ancien joueur de l'équipe du FLN Saïd Amara". www.aps.dz. 
  2. 2.0 2.1 Saïd Amara at National-Football-Teams.com
  3. 3.0 3.1 3.2 "Saïd Amara nous quitte". Le Soir d'Algérie. Mohamed Bouchama. 3 August 2020.  Check date values in: |date= (help)
  4. Ian Hawkey (2010). Feet of the Chameleon: The Story of African Football. Portico. uk. 121. ISBN 978-1906032852. 
  5. 5.0 5.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named career2
  6. "Algeria National Team Coaches". RSSSF. Iliwekwa mnamo 28 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saïd Amara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.