Sabine Fuss

Mwanasayansi wa hali ya hewa wa kijerumani
(Elekezwa kutoka Sabine fuss)

Sabine Fuss ni mwanasayansi wa hali ya hewa wa Ujerumani[1].Ni Kiongozi wa kikundi cha "Usimamizi endelevu wa Rasilimali na mabadiliko ya hali ya hewa ulimwenguni" katika Taasisi ya Utafiti ya Mercator(MCC).Sabine Fuss ni profesa katika Chuo Kikuu cha Humboldt cha Berlin[2].

Maisha

hariri

Fuss alipata shahada ya uzamili ya uchumi wa kimataifa na udaktari katika maendeleo endelevu katika sekta ya nishati kutoka Chuo Kikuu cha Maastricht. Alifanya kazi katika Taasisi ya Kimataifa ya Uchambuzi wa Mifumo Inayotumika. Mnamo mwaka 2018 aliteuliwa kuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Humboldt cha Berlin [2].

Maslahi ya utafiti ya Fuss ni pamoja na usimamizi wa rasilimali kwa kuzingatia hasa uchanganuzi wa mifumo, kufanya maamuzi chini ya hali isiyo na uhakika, tathmini iliyojumuishwa inayolenga kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, mifumo ya usimamizi wa kaboni dioksidi , maendeleo yanayoendana na hali ya hewa, na sera ya hali ya hewa[3].

Marejeo

hariri
  1. "IPCC Authors (beta)". archive.ipcc.ch. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 2021-04-06.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 Löhe, Fabian (2 February 2018) (in de-DE). MCC-Forscherin Fuss zu Professorin berufen (Press release). https://idw-online.de/de/news698634. Retrieved 2021-04-06.
  3. "Fuss, Sabine – Mercator Research Institute on Global Commons and Climate Change (MCC)". www.mcc-berlin.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 2021-04-06.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabine Fuss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.