Saidat Adegoke
Mwanasoka wa Nigeria
Saidat Adegoke (alizaliwa Ilorin, Jimbo la Kwara, Nigeria, 24 Septemba 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria.[1]
Saidat Adegoke | |
Amezaliwa | 28 Septemba 1985 Ilorin , Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa miguu |
Kazi
haririAdegoke katika kipindi cha majira ya joto mwaka 2007 alianza kuichezea klabu ya wanawake ya Remo Queens nchini Nigeria na katika ligi Serie A ya nchini Italia katika timu ya ACF Trento. Baada ya msimu wao wa kwanza katika ligi ya Serie A timu ya Trento katika michezo yao 16 alifunga mara 3. Mnamo Agosti 2008 akiwa na timu ya AC Milan alifunga magoli 19 katika michezo 52 aliyocheza.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ London Olympics: Nigeria's worst outing
- ↑ Scheda su femminile.football.it
- ↑ "Scheda calciatrice - Saidat Adegoke". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-02-13. Iliwekwa mnamo 2022-05-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saidat Adegoke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |