Saidi Juma Nkumba

Saidi Juma Nkumba (amezaliwa 17 Aprili, 1962) ni mbunge wa jimbo la Sikonge katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Saidi Juma Nkumba (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.