Sakristia
Sakristia (kutoka Kilatini "sacristia"; kwa Kiingereza "sacristy") ni chumba maalumu kwa ajili ya kutunza mavazi ya liturujia (kama vile alba na kasula) na vifaa vingine vya ibada za Kikristo (kama vile mkate, divai, mishumaa n.k.).[1]
Kwa kawaida sakristia iko jirani na ukumbi wa kanisa, ili padri na watumishi waingie moja kwa moja baada ya kuvaa kiibada.
Tanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Sacristy" article from Catholic Encyclopedia