Salama Jabu

Muundaji wa maigizo na vichekesho

Salama Jabu (maarufu kwa jina la Nisha)ni msanii wa kike na muandaaji wa maigizo maalufu kama vichekesho nchini Tanzania [1].

Salama Jabu ni mwanzilishi wa shirika la filamu Nisha's film production. Pia ametajwa na tovuti ya answersafrica.com kuwa mmoja kati ya wanawake warembo kutoka nchini Tanzania akishika nafasi ya 16 [2]

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-01-29. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  2. https://answersafrica.com/beautiful-tanzanian-women.html
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salama Jabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.