Salvador Luria
Mtaalamu wa microbiologia Mmarekani mwenye asili ya Kiitaliano.
'
Salvador Luria | |
---|---|
Salvador Luria | |
Amezaliwa | 13 Agosti 1912 |
Amefariki | 6 Februari 1991 |
Majina mengine | Salvador Edward Luria |
Kazi yake | mwanabiolojia kutoka nchi ya Italia |
Salvador Edward Luria (13 Agosti 1912 – 6 Februari 1991) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Italia. Wakati wa utawala wa Mussolini alihamia Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Max Delbruck na Alfred Hershey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salvador Luria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |