Samantha Bee
Samantha Anne Bee (alizaliwa Oktoba 25, 1969) ni mchekeshaji, mwandishi, mtayarishaji, mtoa maoni ya kisiasa, mwigizaji, na mtangazaji wa televisheni wa nchini Marekani mwenye asili ya Kanada.
Bee alijipatia umaarufu kama mwanahabari kwenye The Daily Show, ambapo alikua mwandishi wa kawaida aliyekaa kwa muda mrefu zaidi. Mnamo mwaka 2015, aliacha maonyesho baada ya miaka 12 na kuanzisha kipindi chake, cha Full Frontal with Samantha Bee.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samantha Bee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |