Sameer Ismail Lotto

Sameer Ismail Lotto (amezaliwa tar. 3 Julai 1966) ni mbunge wa jimbo la Morogoro -Kusini -Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Sameer Ismail Lotto". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje hariri