Samoa Joe
Nuufolau Joel Seanoa (anajulikana zaidi kwa jina la Samoa Joe; alizaliwa 17 Machi 1979), ni mchezaji wa kulipwa wa Marekani aliyesainiwa katika kampuni ya mchezo wa mieleka ya WWE na kufanya kwenye brand Raw. Mwaka 2002 alijiunga RHO katika mwanzo wa promosheni hiyo,Akishikilia tuzo ya mchezaji bora wa RHO duniani
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samoa Joe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |