Samsun ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Samsun na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.

Samsun

Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama Amisos (tahajia zingine ni Amisus, Eis Amison - maana ya amisos imechukua jina la Samsunta au Samsus (Eis Amison - Samson - Samsounta).[1]

Marejeo hariri

  1. Özhan Öztürk. Karadeniz: Ansiklopedik Sözlük (Blacksea: Encyclopedic Dictionary). 2 Cilt (2 Volumes). Heyamola Publishing. Istanbul.2005 ISBN 975-6121-00-9

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: