Sandra Braz Bastos (alizaliwa 1 Machi 1978) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Ureno. [1] [2] Alikua mwamuzi rasmi katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2019 nchini Ufaransa. [3] [4]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Braz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.