Sandy Turnbull (30 Julai 18843 Mei 1917) alikuwa mchezaji wa soka wa Uskoti ambaye alicheza kama mshambuliaji katika klabu za Manchester United F.C. na Manchester City mwanzoni mwa karne ya 20.

Sandy Turnbull
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandy Turnbull kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.