Sanna Mirella Marin (amezaliwa 16 Novemba 1985) ni mwanamke mwanasiasa wa Kifinlandi ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Ufini tangu tarehe 10 Desemba 2019.

Sanna Marin (2019)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanna Marin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.