Sara Fantini (alizaliwa 16 Septemba 1997) ni mwanariadha wa kike kutoka Italia anayeshiriki michezo ya kurusha nyundo. Alishiriki na kufanikiwa kucheza michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020 [1].

Maisha ya Kazi hariri

Ameshinda mara nane Michuano ya Taifa kwa watu wazima na kuwekwa kwenye nafasi 60 bora akiwekwa katika nafasi ya 51 kwenye IAAF [2]. Ni mtoto wa aliyekuwa mrusha tufe Corrado Fantini.

Marejeo hariri

  1. Athletics FANTINI Sara - Tokyo 2020 Olympics (en-us). olympics.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  2. Hammer Throw - women - senior - outdoor - 2017. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Fantini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.