Kurusha nyundo
Kurusha nyundo (kwa Kiingereza: hammer throw) ni aina ya riadha. Lengo lake ni kurusha mbali iwezekanavyo kipande kizito cha chuma kilichofungwa kwa waya.
Asili iko katika desturi za Uskoti na Eire ambako walishindana kurusha nyundo nzito ya mhunzi.
Tangu mwaka 1900 kurusha nyundo ni sehemu ya michezo ya olimpiki.
Rekodi ya kimataifa ya wanaume iko kwenye mita 86,74 na kwa wanawake mita 82,98 [1].
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Hammer Throw History Archived 2009-07-27 at the Wayback Machine
- Hammer Throw Records Archived 2009-07-27 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Kurusha nyundo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |