Sara Larraín

(alizaliwa 1962), mwanasiasa na mwanaharakati wa mazingira

Sara María Larraín Ruiz-Tagle (alizaliwa 1952) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa mazingira nchini Chile. Sara María aligombea nafasi ya urais katika uchaguzi wa urais wa 1999. Sara María ni mzaliwa katika kabila la Wabaski.[1] Larraín ni mwanachama ya bodi ya wakurugenzi wa International Forum on Globalization.[2]

Elimu na kazi

hariri

Larraín alisoma katia chuo cha Universidad de Chile mnamo mwaka 1972, akisomea antropolojia na baadaye alimaliza masomo yake katika chuo cha Catholic University of Chile na kupata shahada ya ufundishaji wa Sanaa.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Larraín kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Chileazul.cl Unidos por un Sentimiento. - Todas las Noticias e información de la "U", en un solo lugar. www.chileauzl.cl". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-26. Iliwekwa mnamo 2014-04-28.
  2. "Bodi ya Wakurugenzi ya IFG". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-02. Iliwekwa mnamo 2011-12-26.