Sara Teasdale (8 Agosti 188429 Januari 1933) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sarah Trevor Teasdale; baada ya kufunga ndoa mwaka wa 1914 akatumia jina lake kama Sara Teasdale Filsinger. Mwaka wa 1918 alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer kwa ajili ya mashairi yake.

Sara Teasdale, 1919
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Teasdale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.