Sarah Elizabeth Tanner
'
Sarah Elizabeth Tanner | |
---|---|
Bi Sarah Tanner akiwa na mumewe Askofu Benjamin Tucker Tanner. | |
Amezaliwa | Mei 18, 1840 |
Amefariki | Agosti 2, 1914 |
Kazi yake | Mwinjilisti |
Sarah Elizabeth Tanner (Mei 18, 1840 - Agosti 2, 1914[1]) alikuwa Mwinjilisti na kiongozi wa kidini katika Kanisa la Kiaskofu la Kimethodisti la Kiafrika.
Alikuwa mke wa Benjamin Tucker Tanner na mama wa msanii Henry Ossawa Tanner na wa daktari Halle Tanner Dillon Johnson, tena bibi ya mwanaharakati wa haki za kiraia Sadie Tanner Mossell Alexander.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.familysearch.org/ark:/61903/1:1:JFF8-CGH FamilySearch Jina la baba Charles J. Miller; Mahali pa kuzaliwa kwa baba Winchester, Va; Jina la mama Louisa Saunders; Mahali pa kuzaliwa kwa mama Carlisle, Pa. [maelezo kutoka familysearch.org: "Pennsylvania, Philadelphia City Death Certificates, 1803-1915," hifadhidata yenye picha, FamilySearch (familysearch.org/ark:/61903/1:1:JFF8-CGH : 18 Februari 2021), Louisa Saunders katika kuingia kwa Sarah Elizabeth Tanner, 02 Aug 1914; akitoa mfano wa cn 18848, Philadelphia City Archives and Historical Society of Pennsylvania, Philadelphia; Filamu ndogo ya FHL 1,429,047.]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Elizabeth Tanner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |