Sarah Michael
mchezaji wa mpira wa miguu
Sarah Michael (alizaliwa 22 Julai 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji katika ligi ya Elitettan katika klabu ya Lidköpings.Sarah ni mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria na alishiriki katika michuano ya Olimpiki mnamo mwaka 2008 pamoja na Kombe la Dunia la mwaka 2011.[1][2]
Sarah michael | |
picha ya Sarah michael | |
Nchi | Nigeria |
---|---|
Kazi yake | mchezaji wa mpira wa miguu nigeria |
Marejeo
hariri- ↑ 2011 squad Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine. in Örebro's website
- ↑ Statistics in FIFA's website
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Michael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |