Sarita Gayakwad
Saritaben Laxmanbhai Gayakwad (alizaliwa 1 Juni 1994) ni mwanariadha wa India ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 400 na mita 400 kuruka viunzi. Alikuwa sehemu ya timu ya wanawake ya India ya mita 4 × 400 ya kupokezana vijiti iliyoshinda medali ya dhahabu kwenye Michezo ya Asia ya mwaka 2018. [1]
Serikali ya Gujarat. amemchagua kama balozi wa chapa ya Jimbo la Gujarat Poshan Abhiyan.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarita Gayakwad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |