Savelina Slivanus Mwijage

Savelina Slivanus Mwijage ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017