Saving Africa's Witch Children

2008 film directed by Mags Gavan and Joost van der Valk

Saving Africa's Witch Children[1] ni filamu iliyoongozwa na Mags Gavan na Joost van der Valk.

Ni filamu inayoangazia Gary Foxcro na asasi yake wanayopambana na masuala ya uchawi kwa watoto na wakitumia msingi mkuu wa kidini [2]

Baadhi ya sehemu masikini katika Nigeria wanaendelea kutumia dini zao za asili katika imani za kishirikina na kichawi huku waathirika wakubwa wakiwa ni watoto ambao wanahusishwa na matatizo mbalimbali yakiwemo magonjwa na mabalaa, hali inayopelekea watoto wengine kuuliwa.[3]

Filamu ilikuwa ikionyeshwa pia katika kituo cha Channel 4 na tamthilia yake ilijishindia tuzo mbalimbali ikiwemo BAFTA

Marejeo

hariri
  1. Faith Karimi (2009-05-18). "BBC: Abuse of child 'witches' on rise, aid group says". Cnn.com. Iliwekwa mnamo 2012-09-24.
  2. Foxcroft, Gary (2008). "Saving Africa's Witch Children, a documentary".
  3. "Saving Africa's Witch Children". Channel 4. 2008-11-12. Iliwekwa mnamo 2012-09-24.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saving Africa's Witch Children kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.