Sawsan Rabie

mwigizaji wa Misri (1962-2021)

Sawsan Rabie alizaliwa mnamo tarehe 7 Juni mwaka 1962 na alifariki tarehe 6 Machi mwaka 2021) Alikuwa ni mwigizaji wa televisheni na filamu za Misri. Alijifunza katika chuo cha Ain Shams .

Sawsan Rabie
Amezaliwa Sawsan Rabie
7 Juni 1962
Misri
Amekufa 6 Marchi 2021
Kazi yake Mwigizaji
Watoto wawili

Maisha binafsi

hariri

Aliolewa na alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume .[1] Rabie alikufa mnamo tarehe 6 mwezi March mwaka 2021, katika hospitali ya Al Haram Hospital katika mkoa wa Giza,[2]kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 wakati wa janga la UVIKO-19 nchini Misri.

Alifariki kutokana na maradhi ya UVIKO-19, wakati wa mlipuko wa ugonjwa huo nchini misri .[1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Veteran Egyptian actress Sawsan Rabie dies at 59 - Stage & Street - Arts & Culture". Ahram Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-10. Iliwekwa mnamo Machi 7, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "تعرف على سبب وفاة الفنانة سوسن ربيع". masrawy.com (kwa Arabic). 6 Machi 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-25.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sawsan Rabie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.