Scott Mellanby
Scott Edgar Mellanby (alizaliwa tarehe 11 Juni 1966) ni mchezaji wa zamani wa hoki kutoka Kanada, pia ni kocha na mtendaji.
Alikuwa akicheza hasa kama beki wa kulia (right wing) katika ligi kuu ya (NHL), ingawa mara kwa mara alihamia upande wa kushoto.
Yeye ni mtoto wa Ralph Mellanby, ambaye alikuwa mtayarishaji wa kipindi cha "Hockey Night in Canada". [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Pee-Wee players who have reached NHL or WHA" (PDF). Quebec International Pee-Wee Hockey Tournament. 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-03-06. Iliwekwa mnamo 2019-01-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Scott Mellanby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |