Sebastian Francis
Sebastian Francis (amezaliwa 11 Novemba 1951) ni askofu wa Malaysia wa Kanisa Katoliki. Amekuwa Askofu wa Penang tangu 2011. Papa Fransisko alimpandisha cheo hadi ukardinali tarehe 30 Septemba 2023. Ni kardinali wa pili kutoka Malaysia baada ya Anthony Soter Fernandez. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Malaysian bishop searches roots in Kerala". Matters India. 21 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 26 Machi 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |